Ubongo Kids ni mfululizo wa katuni kutoka Tanzania, East Africa! Ungana na Ubongo Kids katika safari yao ya kutumia ubongo kufurahia na kujifunza, na kutatua matatizo ya kijiji chao cha Kokotoa. Kutana pia na marafiki zao: Mama Ndege, Toto Tembo, Anko T (twiga anayerap) na Ngedere.. ambaye anapenda saaaana pilau. Tatizo likitokea, ni lazima kutatua! Ukiulizwa swali tafakari! Tumia Ubongo!
Pakua App ya Ubongo PlayRoom ili kutazama video zaidi za Ubongo Kids!
www.Ubongokids.com